ENDELEA………………………
“Kwa sababu taarifa zake kwa mwaka mzima inatakiwa zitoke mara moja tu basi kama ukizidisha zaidi ya hapo basi zitawafikia watu wengi sana, huwa natumia mfumo wa mtu kuigeuza namba yake ili kunipata mimi kama ulinzi kwangu kwa sababu hata akihitaji kunipata basi anakutana na vizuizi vingi sana kama asingekuwa George basi msingeweza kuja kunipata milele huyo ndiye pekee ambaye amenizidi uwezo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments