ENDELEA…………………
Gari aina ya Land rover yenye plate number jwtz704 ndiyo gari ambayo walikuwa wameitumia wanaume nane Kwenda kuifanya kazi yao ambayo walikuwa wameikusudia siku hiyo, majira hayo ya usiku wa mapema kabisa hali ya jiji la Dar es salaam ilikuwa imetulia sana njiani kulikuwa kuna foleni kiasi ila kwa kwa sababu gari yao ilikuwa inajulikana ni ya jeshi hivyo hawakupata usumbufu wowote …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments