ENDELEA…………………
Mheshimiwa raisi alizunguka na watu wake nyuma ya hiyo nyumba, alipewa kofia kubwa sana ambayo aliivaa kwenye kichwa chake usingeweza kumjua kwamba ni mheshimiwa kama hujaambiwa hiyo yote ilikuwa ni kwa ajili ya usalama wa kiongozi huyo kwani kama angekutwa na chochote ilikuwa ni hatari sana kwa taifa zima, alikuwa ameongozana na mkurugenzi wa usalama wa taifa. Aliinama kwenye miili ya hao vijana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments