STORY: IDAIWE MAITI YANGU
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
********************
SEHEMU YA SITINI NA MBILI
SONGA NAYO................
Zilisikika hatua za watu zikiwa zinakuja kwa mbali, aligeuka kuangalia hatua hizo lakini hakuziona, alihisi kama anaota mpaka pale alipogeuka tena alitaka kukimbia. Aliwaona watu watatu wakiwa mbele yake, hakuelewa watu hao walifikaje kwani …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments