SEHEMU YA 196.
Malkia Nyakasura.
Watu waliokuwa na moyo mwepesi hawakuweza kuangalia shambulizi lile kwani lilikuwa sio la kiubinadamu kabisa. Eneo ambalo Azzle alitupiwa palitengeneza shimo huku matofauti yakiporomoka.
Kama sio mbinu ya Azzle kuzunguka na kuruhusu mguu mmoja kutua chini kabla ya mwili angekuwa ameumia sana , pengine angeshindwa kuamka. Lakini hata hivyo licha ya kuhimili shambulizi hilo, alikuwa katika hali ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments