STORY: IDAIWE MAITI YANGU
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
********************
SEHEMU YA SITINI NA TISA
SONGA NAYO................
Kesho yake mchana Ezra alikuwa ndani ya gari, wenye vyao hawaiti gari wanaita usafiri kwa sababu ni kama kulidhalilisha neno gari. Alikuwa kwenye daladala za kutokea Gongo la Mboto kwenda Mbezi Mwisho ambazo huwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments