Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

ENDELEA……………………

Kichwa kilikuwa kinamuuma sana ila alijilazimisha kuamka hakuwa na namna nyingine, mara ya kwanza alihisi shingo yake imevunjika ila alikuja kugundua kwamba shingo hiyo iko salama ni kwamba iliteguka tu, alifumbua macho yake taratibu akiwa hajui yuko wapi mwanga wa chumba hicho ulimpa nuru ya kutosha na kumfanya kuwa na uwezo wa kuona kila ambacho kilikuwa kinaonekana mbele ya macho …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next