ENDELEA……………………
“Unajisikiaje?” ni swali ambalo lilimkurupua Qader kutoka kwenye mawazo makali ya hisia ambayo alikuwa nayo kwa huo muda baada ya kuweza kuishuhudia familia yake ikiwa imetendewa unyama wa kutisha sana, alimgeukia Zakaria kwa huruma sana.
“Kwanini umenitendea haya” mwanaume huyo alimwangalia kwa umakini sana kijana huyo alikuwa na hasira naye kuliko isivyo kawaida alikuwa anamsubiri amjibu maswali yake ya msingi kisha amepeke …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments