SEHEMU YA 199.
“Bro unafanya nini hapa?”Aliuliza Black Fog huku akionekana kuwa na furaha kiana hivi.
Hamza alimwangalia kidogo na kisha alitembea kumsogelea akiwa na tabasamu , na kupandisha katika kifusi hicho cha majani.
“Una hasira na Master wako?”Aliuliza Hamza na tabasamu la Nyakasura lilipotea palepale na aliishia kuokota majani makavu ya nyasi na kuaza kuyakunja kunja.
“Hapana , tokea nikiwa mdogo nishazoea kufokewa. Hii …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments