ENDELEA………………….
Zakaria alitembea na gari yake kwa mwendo wa kawaida tu kwa sababu alipokuwa anaenda hapakuwa mbali sana, nJia ya manzese Kwenda Sinza kila mtu alikuwa anashangaa gari ya kifahari kama hiyo kupita kwenye hiyo mitaa, alisimamisha gari yake sehemu na kuichukua simu yake akaingia mtandaoni, zilipita dakika chache tu alikuta gari yake na picha zake ndicho kitu kinacho trend zaidi kwenye mitandao ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments