ENDELEA………………….
Zakaria baada ya kutoka Sinza alipitiliza mpaka kwake moja kwa moja hakuwa na wasiwasi kwa sababu alikuwa anajua anacho kifanya, aliingia moja kwa moja kwenye chumba chake kikubwa cha kazi na kukaa kwenye komputa yake kubwa sana, alitulia hapo kwa dakika zaidi ya saba HOTEL BLUE SAPPHIRE ni moja ya hoteli za kifahari sana zinazo patikana ndani ya wilaya ya Ilala ni kilomita …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments