Reader Settings

ENDELEA…………………

“Mhhhhh mhhhhhh ndio maana kuna muda mimi huwa siamini sana kama watu wote tuliumbwa na MUNGU mmoja tu pekee, haya mambo ambayo nimeyashuhudia hapa leo yamenifanya niache kabisa kujiamini kwenye maisha yangu inaonekana bado mambo mengi sana kuhusu dunia hii siyajui yaani haiwezekani mwanadamu umuue mwanadamu mwenzako kwa staili kama hii aisee kuna wanadamu ni wakatili hata shetani mwenyewe anakaa darasani kujifunza kwao, …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next