ENDELEA…………………………….
Usiku wa manane sana ndani ya JNIA kwenye sehemu ambayo imeandikwa ARRIVALS walionekana wanaume watano ambao walikuwa kwenye nguo nyeusi sana na makoti makubwa bila kusahau miwani mikubwa ambayo ilipambwa na kofia kubwa sana kila mtu akiwa na begi lake mkononi, haikujulikana walikuwa wanafanya nini hiyo sehemu ndani ya mida hiyo ya usiku wa manane kwa sababu hakukuwa na ndege yoyote ya abiria …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments