Reader Settings

Aami alikuwa ameyafumba macho yake kwa hisia kali leo kwa mara ya kwanza alikuwan anaogopa sana, upanga huo ulitua pembeni yake na kuchimba ardhi aliyafumbua macho yake hakuamini kama alikuwa amepona kwenye hilo mwili ulimsisimka sana jasho lilikuwa linamtoka sana kwenye mwili wake, alihema kwa nguvu sana akiwa kwenye maumivu makali sana.

“Wewe bado ni kijana mdogo sana hapo ulipo hata …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next