ENDELEA……………….
“Hapana hapana” Aami alijibu kwa kigugumizi kama mtu aliyeshtuka kutoka sehemu fulani hivi
“Nakuacha hai kwa sababu ya mama yako mzazi, mimi sijayapata mapenzi ya mama ila najua mama ndiye mtu ambaye huwa ana uchungu zaidi na mtoto ambaye amemzaa mwenyewe, nasikia mama yako mzazi yupo hai hivyo ni jukumu lako Kwenda kumtunza na kumlinda wewe ulizaliwa nje ya ile …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments