Reader Settings

ENDELEA…………………………….

Kanivas Zagota baada ya raisi kumtembelea ofisini kwake na kumpa ukweli wa mambo ulivyo alijikuta anachanganyikiwa, aliitoa simu yake kwenye mfuko wake na kuipiga mahali

“Nahitaji vijana waje ofisini muda huu” ilikuwa ni sauti yake kisha akakata simu yake, hao ambao alisema kwamba alikuwa anawahitaji ofisini walikuwa ni vijana ambao ndio walikuwa wanamlinda na kumpa kiburi sana, walikuwa nane tu …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next