SEHEMU YA 599.
“Hapana… Roma usifanye hivyo hapana”
Alikuwa ni Edna ambaye alikurupuka usingizini huku akitoa maneno hayo.
Alijikuta akihema kwa nguvu huku akikaa kitako katika kitanda , Edna bila kujijua alijikuta akishika shavu lake kwa wasiwasi , alikuwa akitokwa na jasho jingi sana kiasi cha kuloanisha shingo yake.
“Bora ni ndoto”
Aliongea kwa sauti ya chini akivuta punzi ya ahueni huku akigeuza macho yake …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments