Reader Settings

ENDELEA…………………….

Mita 75 kutoka lilipokuwepo jumba la kifahari namba MBNT777 ndipo ilipo simama gari ambayo ndani yake ilikuwa na watu watatu tu, Zakaria, Rikardo na George wanaume hao walifika hapo kwa lengo la kumlipa deni lake Kanivas Zagota ambalo alikuwa amemkopea Zakaria, hazikuhitajika stori nyingi sana hilo eneo maisha tu ya tajiri huyo ndiyo yaliyokuwa yakihitajika hapo.

“Zimeni umeme wa ile …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next