Reader Settings

ENDELEA……………….

Moja kwa moja gari ambayo walikuwa nayo ilienda kusimama nyumbani kwa Zakaria, George na mwenzake Rikardo bado walikuwa na wasi wasi sana hawakuwa na imani tena na mtu huyo ndiyo maana walikuwa na wasiwasi sana juu ya hilo kwa kile ambacho waliona anakifanya kule waliogopa mno kuwa karibu na mtu wa aina hiyo, Zakaria aligundua jambo hilo aliwatoa wasiwasi wawe na imani …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next