Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

ENDELEA…………………….

Wanaume hao wanne ambao walikuwa mbele yake, wawili ambao walikuwa ni maninja walikuwa na visu vidogo vidogo vidogo kwenye mikono yao, hizo ndizo silaha ambazo walikuwa wanazitumia sana, hawakuwa kama maninja wengine ambao kawaida yao huwa wanatumia star ambazo huwa ni kali sana, makomando wale wengine wawili kila mtu alikuwa kwenye buti kali sana viunoni walikuwa na bastola za kutosha lakini hawakuona …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next