ENDELEA……………………….
Muda ulikuwa unaenda sana, masaa yalikuwa yanasogea sana kwa kasi kubwa, ilikuwa ni asubuhi hatimaye ilikuwa ni jioni, ikawa ni asubuhi kama kawaida watu walikuwa wanaendelea na shughuli zao za kila siku kutafuta mkate wao, akina Rikardo walikuwa wamepazoea hapo ndani kama vile walikuwa kwao Zakaria kwao aligeuka kuwa zaidi ya ndugu na kama kaka, majira ya jioni yalikuja kwa kasi sana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments