ENDELEA…………………
Rikardo na George walikuwa eneo husika ambalo walitakiwa kuwepo na aliyekuwa anasubiriwa hapo alikuwa ni Zakaria, gari yake ilifika hapo kila mtu alibaki anamshangaa sana, badala ya kushuka mwenyewe alikuwa ameongozana na wanawake kumi na watano kwenye gari hiyo, walijaribu kumhojo ni kipi kilikuwa kinaendelea huko alikokuwa ametoka aliwajibu kiufupi tu kwamba wanawake hao walitakiwa kupelekwa kwa mheshimiwa raisi na usalama waliokuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments