Reader Settings

“Hey Furushi la chuma anza kushambulia sasa nimekuja”Aliongea Nyakasura.

Kundi lote la watu waliokuwa wakiangalia walishikwa na butwaa.

“Huyu mwanamke nae ni Adept?” Adept maana yake Wasiowakawaida.

“Sidhani kama ni hivyo , anaonekana kama mtu mwenye mafunzo ya juu ya nishati za mbingu na ardhl”

“Ule moto wake ni wa maajabu ya aina gani , licha ya kuwa mbali hivi lakini unafanya mapigo ya moyo …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next