SEHEMU YA 200.
Mpango wa Dharula
Silvia uwezo wake ulikuwa ulikaribiana na aliekuwa mume wake Mr Black , hivyo ilikuwa ni rahisi kwake kuweza kuona Hamza hakuwa na msisimko wowote wa nishati za mbingu na ardhi.
Lakini kwa mtu kama Silvia , licha ya kugundua hilo hakutaka kuongea kwa sauti.
“Binadamu ndio hubadilika , lakini dunia ipo vilevile”Aliongea Hamza akiwa katika hali ya utulivu na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments