STORY: IDAIWE MAITI YANGU
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
********************
SEHEMU YA THEMANINI NA SABA
SONGA NAYO................
Wenzake waligeuka kumwangalia kwa muda, hali yake haikuwa njema japo alijikaza kusimama, zile hasira zake ndizo ambazo zilimfanya awe kwa kwanza tena kurudi kwa mwanaume yule, kurudi kwake ikawa safari yake …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments