STORY: IDAIWE MAITI YANGU
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
********************
SEHEMU YA THEMANINI NA NANE
SONGA NAYO................
***********
Hussein Damoga, aliyekuwa mlinzi wa raisi alishtuka kutoka kwenye usingizi wa kifo, alikuwa anajihisi uchovu kwenye mwili wake na maumivu makali yalikuwa yanamuelemea. Hakuelewa yuko wapi kwa wakati huo mpaka akili yake inarudi lakini alielewa kabisa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments