STORY: IDAIWE MAITI YANGU
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
********************
SEHEMU YA TISINI NA MOJA
SONGA NAYO................
***********
Muda ulikuwa unakwenda, mambo mengi yalikuwa yanaendelea kutokea, Tanzania ilikuwa inazidi kuingia gizani na mkombozi hakuonekana alipokuwa, watu walikuwa wanaendelea kuhamaki namna mitaa ilivyokuwa kimya huku wakiwa hawaelewi ni nani alikuwa na kete ya huo mchezo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments