Reader Settings

SEHEMU YA 201.

Baada ya Khalidi kuondoka, Mathias Huge alionyesha tabasamu la kutanabahika huku akimwangalia Hamza.

“Hamza unapanga kweli kutojihusisha na makundi yako ya Barhams, Bafodil na Sea Demons?”

“Kwanini nijihusishe wakati Washikaji zangu wanafanya kazi nzuri , wanastahili kuongoza na isitoshe ikitokea ninahitaji msaada wao naweza kuwaomba tu”

“Hata kama ni marafiki zao wa kufa na kuzikana lakini hawawezi kukufuata kila mahali. Lakini kwa …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next