Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

STORY: IDAIWE MAITI YANGU

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER

WHATSAPP: 0621567672

EMAIL: [email protected]

AGE: 18+

********************

SEHEMU YA TISINI NA NANE

SONGA NAYO................

Dakika zilikuwa zimeisha akiwa anazunguka kila sehemu, aliibeba simu na kupiga;

“Naomba usiziachie hizo video tafadhali, nakuja lakini naomba unihakikishie usalama wangu nikifika huko” hakupewa jibu, simu ilikatwa na haukupita muda akatumiwa location …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next