Reader Settings

Hamza aliishia kukaa kimya tu wakati wa kusikiliza meneno ya Yulia, alikunja ndita na alionekana kuwa katika hali ya kutafakari.

Mara baada ya kumaliza kuvuta sigara , aliweka simu yake kwenye bega na kuibana na kichwa kisha alitoa sigara nyingine na kuiwasha na alivuta moshi mwingine kama gari moshi na kuutoa hewani.

Upande wa pili Yulia alionekana kuwa na mashaka na kujiuliza mbona …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next