STORY: IDAIWE MAITI YANGU
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
********************
FINAL................
Mpaka wakati huo alikuwa ameua walinzi wasio pungua arobaini, alisogea mbele alikutana na eneo kubwa ambalo lilionekana kuwa kama ukumbi lakini kwa pembeni yake kulikuwa na vinjia vidogo vidogo kukiwa na milango. Kuna mlango mmoja ambao ulinakshiwa kwa dhahabu ulikuwa unalindwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments