Mara baada ya Yulia kusikia kauli hiyo, alijihisi ubaridi ukimpitia mgongoni kwake.
“Kama ipo hivyo, ndio maana kitengo cha Sleeping Lions kinazingatiwa sana. Hawa watu ni sawa kusema moja kwa moja wakipita wanapata nafasi ya kuwa karibu na hiyo nguvu iliyo jificha.”
“Na ni lazima pia vijana hao wanaochaguliwa wanakwenda pia kujiunga na hii nguvu iliyo jificha. Vyovyote vile itakavyokuwa, nataka kujua zaidi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments