SEHEMU YA 600.
Kabla hata ya Sophia kuweza kujua kilichotokea alikuwa tayari ashapaa na Roma kwa umbali mfupi kwenda mbele na wakatua nyuma ya kichaka na kujificha.
Katika sehemu ya wazi iliokuwa na miti mifupi na ardhi ya mawe mawe isiokuwa na majani marefu kulikuwa na mapigano yanaendelea.
Waliweza kuona madubwana matatu yaliokuwa mbele yao waliokuwa na miili mikubwa waliovalia mavazi ya ngozi huku misuli …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments