Regina mara baada ya kumuona msichana huyo , ni kama hali yake ilipata uafadhali na ule mzigo uliokuwa mabegani mwake ulimshuka.
“Fionna kwanini ghafla tu ukakimbilia huku? Hukutoa hata taarifa, mimi nilijua umepatwa na shida”Aliongea Regina.
“Mimi niko sawa kipenzi , ni babu ndio alikuja kunitafuta na kwasababu ya haraka hatukutoa taarifa”Aliongea Fionna.
“Babu yako?!” Muda ule ndio Regina aliweza kujua mwanaume aliekuwa kwenye meza …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments