Reader Settings

SEHEMU YA 602.

Siku tatu ziliweza kuwawezesha kutoka katika Msitu wa Giza , ijapokuwa ulimwengu huo ulikuwa ni ardhi ambayo haijagawanyika lakini eneo lilikuwa kubwa mno.

Roma kadri ambavo alikuwa akitembea ndio uvumilivu wake ulizidi kupungua na ili kurahisisha safari aliweza kutumia nguvu yake ya kijini kujaribu kupaa kwa kuruka ruka ruka kama chumba ili kufupisha safari.

Inasemekena mwishoni mwa eneo hilo kulikuwepo …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 0 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next