Asubuhi iliofuata, ingawa jua lilichelewa kuchomoza kuliko siku zote, lakini upande wa bustani, Hamza alikuwa ashaamka muda mrefu tu na alikuwa akitokwa na jasho jingi mwilini huku akiwa kifua wazi.
Kwa uwezo ambao alikuwa nao Hamza na kwa jasho ambalo lilimtoka, ilionyesha ni kwa kiasi gani alikuwa amejifua asubuhi hiyo. Hamza, tokea atoke kijiji cha Wahinde na kujua uwepo wa watu ambao hakujua wana nguvu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments