Reader Settings

SEHEMU YA 603.

Wale majini walionyesha hasira za hali ya juu kutokana na kushuhudia mwenzao akipoteza maisha na palepale waliruka kutoka kwenye wale wanyama na kumsogelea Roma kwa spidi na kuanza kumshambulia.

Uwezo wao wa kimapigano mara nyingi ulitegemea zaidi kipaji na ulijumuisha upepo , mawe ,moto na barafu, mbinu zao hazikuwa chini na zile za majini ya kawaida pamoja na binadamu wanaojifunza …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next