Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

SEHEMU YA 176.

Prince Mahmood

Baada ya masaa kadhaa kuwa hewani hatimae waliweza kutua ndani ya jiji la Paris katika nchi ya mafuvu.

Kampuni ya Dosam ilikuwa na tawi lake la kibiashara ndani ya jiji hilo,ijapokuwa lilikuwa dogo na kuwa na wafanyakazi wachache , kwa ujio wa Regina ililazimu wafanyakazi wote kuwa katika hamasa ya juu.

Watu waliofika Airport kumpokea Regina alikuwa ni meneja wa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next