SEHEMU YA 606.
“Mr Roma huu ni ushauri wangu kwako , nifuate mwenyewe kwa hiari yako au endelea kuwa kiburi na nikufunge na kuondoka na wewe”Aliongea Aoiline.
“Sina jinsi tena”Aliongea Roma katika nafsi yake , katika maisha yake hakupenda kushindwa kirahisi.
Palepale Cauldron iliweza kutokeza na kuanza kutoa moshi kiasi cha kusababisha anga kubadilika huku msisimko wa ajabu kuzingira eneo lote la msitu unaowazunguka na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments