SEHEMU YA 607.
Gesi ile haikuwa na harufu hata kidogo wakati ikiwa inaingia kwenye mapafu yake na ilimfanya Edna kuanza kuona kizungu zungu , ijapokuwa alikuwa mwishoni mwa levo ya nusu mzunguko lakini haikusaidia kuweza kutokuathirika.
Upande wa Lanlan moshi ule haukuwa na athari kwake na palepale le alifanya maamuzi ya kufungua mlango haraka haraka kwa spidi zote na kumsogelea yule mwanaume mwenye chunusi kwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments