Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

HADITHI: THE ODYSSEY OF GAVIN LUCA (LIONELA)

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER

WHATSAPP: 0621567672

EMAIL: [email protected]

AGE: 18+

********************

UKURASA WA SABINI NA NANE

SONGA NAYO................

“Kwa sasa unataka kufanya jambo gani?”

“Unahisi nitafanya jambo gani bibi?”

“Unataka kumtafuta baba yako lakini unajua kabisa kwamba kumpata sio rahisi, labda mpaka aamue yeye mwenyewe kuweza kupatikana”

“Kama baba yangu angehitaji …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next