HADITHI: THE ODYSSEY OF GAVIN LUCA (LIONELA)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
FINAL..................*........*
Kwenye hiyo balkoni mwanamke aliyekuwa anaonekana alikuwa ni Lionela, mrembo huyo alikuwa ameketi hapo nyuma yake akiwa na mwanaume mmoja ambaye alikuwa ameipitisha mikono yake kwenye mabega yake. Kwenye tumbo lake kulionyesha kabisa kwamba alikuwa ni mjamzito! Mwanaume ambaye bahati …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments