Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

BAADA YA KUISHA KWA SIMULIZI HII NI WAKATI WA KUIPATA SEHEMU YAKE YA TATU NA YA MWISHO KABISA.

 

SEHEMU YA MWISHO INAENDA KUKUPATIA MAJIBU KAMILI KUHUSU MAISHA YA JABARI..... 

UNAENDA KUJUA KWAMBA JABARI ALIKUWA NI NANI HASWA, ALITOKEA WAPI NA KWANINI ALIAMUA KUMSALITI MKEWE WA NDOA NA WATU AMBAO WALIMSAIDIA PAKUBWA SANA KWENYE MAISHA YAKE.

 

KUNA MENGI NA YA KUTISHA NYUMA YA MAISHA YA JABARI LAKINI TUNAENDA PIA KUJUA MWAFAKA WA LIONELA NA WATU WAKE KWA SABABU WANA MTU HATARI SANA NDANI YAO NA HAWAJUI.

 

JE WATAPONA?

 

SEHEMU ya tatu na ya mwisho inaitwa SIKU ZA MWISHO - GIZA LA MALAIKA au WAWEZA Kuiita THE DARKNESS OF AN ANGEL.

 

SIMULIZI HII INAPATIKANA HUMU HUMU FASIHINET HIVYO UKIONA COVER YENYE TITLE "THE DARKNESS OF AN ANGEL"- SIKU ZA MWISHO UJUE NDIYO YENYEWE.

 

ZIMETOKA KWA COLLECTION HIZI SIMULIZI AMBAPO NI KAMA SEASONS.

 

SEASON 1- IDAIWE MAITI YANGU 

SEASON 2- THE ODYSSEY OF GAVIN LUCA (SAFARI YA GAVIN LUCA- LIONELA)

SEASON 3: THE DARKNESS OF AN ANGEL- SIKU ZA MWISHO ✅ 

Previoua