Reader Settings

Hazina ya taifa

Hamza alijifanya kumdharau rafiki yake huku akiongea:

"Wewe, bichwa kubwa, naona kidogo uwezo wako wa nishati umeongezeka. Mwaka jana tu ulikuwa kwenye mzunguko kamili, ila sasa hivi upo kwenye levo ya ukamilifu. Lakini kwa levo yako, unapaswa kujificha nyuma yangu, maana muda ukiwadia, nadhani nitatumia nguvu nyingi sana kukulinda."

"Bosi, wote hatuwezi kuwa kama wewe. Mimi nipo bize na masuala ya jeshi, …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next