Mtu aneishi kiroho ni jeshi
Yalikuwa ni maua ya kimiujiza kweli, kwani ndani ya sekunde tu eneo lote lilijawa na harufu yake. Nyakasura, alipoona vile, alijikuta akipandwa na hasira kali mno.
"Nyie wendawazimu, kufeni!"
Alinguruma Nyakasura, na muda huo hakujali tena kama angemuunguza Hamza au la—mwili wake wote ulishika moto.
Moto ule wa kiphoenix ulikuwa kama bomu lililolipuliwa, na kwa haraka ukaanza kuunguza mizizi ile …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments