Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

Dark magic

Hamza alikwepa mara ya kwanza, lakini mara ya pili, licha ya jitihada zake, aliguswa kwenye ngozi yake. Ingawa hakuwa amefunikwa kabisa, palepale ngozi yake ilianza kubabuka kama vile nyoka anayeng’oa gamba lake, huku seli za mwili wake zikionekana kufa kwa kasi kubwa mno.

Ilikuwa ngumu kuamini kwamba upako ambao awali Silivia alikuwa nao wa uponyaji, sasa umegeuka kuwa upako wa maangamizi—unaoweza kumuua mtu …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next