STORY: JUMBA JEUSI
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
EPISODE 25.
ENDELEA.......
“Sihitaji kumpa sababu ya kurudi hapa, andaa safari yake haraka kuna jambo la mhimu sana ambalo unahitajika uwepo wake kuweza kutatuliwa”
“Sawa bosi” simu ilikatwa, alihema kwa nguvu na kuamua kuondoka ambapo aliishia ile sehemu ambayo alikuwepo katibu wake, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments