STORY: JUMBA JEUSI
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
EPISODE 30.
ENDELEA.......
Alikuwa ametegemea kumkita Jaden kwenye mbavu lakini haikuwa hivyo kwani mwanaume huyo alikuwa amerudi nyuma na alibetuka sarakasi ya mbele halafu akauyumbisha mguu mmoja ambao ulitua kwenye kwapa ya mzee huyo. Mguu ulikuwa umekomaa, ulimfanya mzee yule kupata maumivu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments