Jicho la Mzimu
"Haiwezi kuwa!!"
Hamza aliongea kwa nguvu huku akigeuka nyuma na kuangalia maiti ya Silvia. Palepale, aliweza kuona kwamba nguvu zake za miujiza za giza zilishamponya jeraha lake la kichwa.
Silvia alisimama huku akicheza cheza kama mlevi. Ngozi yake ilikuwa imepauka mno—alionekana kama mtu aliyeishi miaka mingi. Uso wake ulikuwa na mikunjo mingi, na nywele zake, ambazo awali zilikuwa na rangi ya dhahabu, sasa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments