Reader Settings

Rest in pieace madam

Hamza alikuwa katika hali ya kujishangaa yeye mwenyewe, akijiuliza kama mazoezi makali aliyokuwa akifanya yameifanya mbinu hio kumpa nguvu nyingine kabisa.
Kwake, hili lilionekana kama habari njema licha ya mshangao mkubwa aliokuwa nao.

Nyakasura, ambaye alikuwa mikononi mwa Hamza, hata yeye alihisi mabadiliko makubwa katika mwili wa Hamza. Nguvu kubwa iliyokuwa ikimtoka Hamza ilimfanya kuhisi kana kwamba anagandishwa na ubaridi.

Muda huo, …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next